Youtube yangu inazingua ku play video

Youtube yangu inazingua ku play video

Rajab o Rajab

Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
9
Reaction score
2
Mambo vipi wapendwa naombeni msaada kwa anayejua youtube yangu inazingua ku play video nikifungua inaandika "There was a problem with the network (410) Nimejaribu kila njia imeahindikana
69618fe887252ff3dad6f566aeb08754.jpg
 
Inaonesha network zmefungwa Zina X
 
Back
Top Bottom