YouTube wanatumia kigezo gani kuifanya video iwe 1 trending?

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Wadau naomba ufafanuzi.

Unakuta video ina 1300000 views iko no1 trending but pia kuna video ina 2M iko 2 trending ili linakuwaje wadau?

Trending video Tz kwa sasa inafanana na mfano niliotoa.
 
Mkuu pia inazingatia hizo views zimetumia muda gani kufikiwa. Mfano aliyetumia siku 10 kupata views 1000000 lazima apigwe na aliyetumia siku 2 kupata views 500000
 
Ok

Wimbo wa diamond umetumia two days kupata 2M views.
Na rayvany ft zuchu 1.5 M kwa week 1 ,hapa inakuwaje na diamond ni 2 trending
 
Inategemea na hiyo video imetazamwa na idadi ya viewers kiasi gani kwenye nchi husika, inawezekana hiyo video yenye views nyingi hapa Tanzania Ina viewers wachache ukilinganisha na yenye views kidogo

Mfano video A yenye views 2 million kati yao views kutoka Tanzania ni views 500k tu hao wengine wanatokea mataifa mengine

Video B yenye views 1 million kati yao views kutoka Tanzania ni 700k automatically itakua on trending mbele ya hiyo yenye views 2 million

Trending ni location
 
Trending ni kama msongamano wa watu kuitazama hiyo video kwa wakati mmoja!
Wengi wameeleza kwa hisia tu
 
Kinacho angaliwa ni kuwa video gani ipo trending...yaani ni video gani watu wengi wanaiangalia kwa wakati huo...!

hakuna jipya chini ya jua"
 
Nimepata majib

Back
Top Bottom