Mt Paulo Member Joined Oct 27, 2018 Posts 88 Reaction score 64 May 31, 2020 #1 Habari wanajamii, samahanini sana. Nilikosea ku edit mwaka kwenye youtube channel yetu sasa hivi inanigomea kuingia Naweza pata msaada wa kuiedit tena ili irudi hewani
Habari wanajamii, samahanini sana. Nilikosea ku edit mwaka kwenye youtube channel yetu sasa hivi inanigomea kuingia Naweza pata msaada wa kuiedit tena ili irudi hewani
Heisenberg JF-Expert Member Joined Apr 26, 2017 Posts 1,688 Reaction score 2,982 May 31, 2020 #2 Kama umefanikiwa ku log in nini kinasumbua tena?
Gentleman96 JF-Expert Member Joined Mar 12, 2019 Posts 912 Reaction score 1,675 Jun 1, 2020 #3 Mwaka na channel vinahusiana nn?
kiboboso JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 9,351 Reaction score 12,705 Jun 1, 2020 #4 Hueleweki....
Mt Paulo Member Joined Oct 27, 2018 Posts 88 Reaction score 64 Aug 8, 2020 Thread starter #5 Agustino87 said: Hueleweki.... Click to expand... email nimeedit mwaka vibaya na inagoma kufunguka sababu hy
Agustino87 said: Hueleweki.... Click to expand... email nimeedit mwaka vibaya na inagoma kufunguka sababu hy