Youtube channel

Youtube channel

Joined
Jan 14, 2017
Posts
88
Reaction score
26
Hii ni channel yangu mpya nimeanza nayo
nime ushauli nini ni improve
 
Hii ni channel yangu mpya nimeanza nayo
nime ushauli nini ni improve

How about making your own comedy videos. Hizo video unachukua kwenye video za watu wengine na kuziweka kwenye channel yako. Huo ni wizi. Unatakiwa kutengeneza za kwako mwenyewe au atleast ufanye reaction video reacting to the videos, sio tu kuzichukua na kuzipachika kama zilivyo.
 
maybe reaction, i'm not good direct kufanya acting
 
Back
Top Bottom