Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,062
- 3,280
Kaka unahitaji wadau kama mimi mpenda maendeleo naam naamini wapo wengine na watafika naam mimi nauza kuku ila mikopo midogomidogo tu ndio naambulia ila unaonaje tukianzosha mradi wa kilimo na ufugaji naam tuchange fasta mikopo ipo katika vikundi njoo tufanye mchakato sasa ....................202/2015
Wazo zuri. Bila kukukatisha tamaa napenda kukufahamisha kuwa walioliwaza kabla yako hapa JF wameishafika mbali sana. Waliojikita ktk kilimo cha miti, miti yao ni mikubwa sana leo walioanzisha perennial farming wameaga umaskini. Kwa ufupi huna haja kuanzisha umoja/movement ambayo tayari IPO. Tafuta threads zinazozungumzia Chai Dei au wasiliana na wafuatao: Malila Maskini Jeuri chasha Ericus Kimasha
Habari wadau wote .
Niende moja kwa moja kwnye hoja yangu.
Ukiangalia uwiano kati ya wahitimu wa vyuo vikuu dhidi ya ajira zinazopatikana ,utakuata hakuna kabisa uwiano mzuri,idadi kubwa ya wahitimu hawana ajira ,huku wenye nazo bado mishahara inabaki kua duni na haitoshelezi mahitaji ya mtu. Kiufipi ajira ni Tatizo.
Nadhani huu ni muda muafaka sasa wa Vijana kubadilika na kuacha kutegemea ajira na badala yake kuwaza njia mbadala zitakazo tukwaumua kiuchumi .
Hivyo basi nimeona si vibaya kupitia JF tukaanziansha movement inayohamasisha Vijana kushiriki katika kilimo.
Katika Movement hii ,tushirikishane jinsi ya kufanya kilimo ikiwa ni pamoja na ufugaji,tupeane uzoefu kwa walioshawahi kushiriki katika kilimo na tuelemishane mbinu mbali mbali ili kufika lengo la kilimo bora .
Hii itasaidia Vijana kujiajiri,kutengeneza ajira na pia kukuza Uchumi.
Karibu wadau na wapenda Maendeleo.

Nakusubiria mkuu Malila.Naam,
Tukisaidiana kama timu moja tunaweza kutoka hapa tulipo. Nitachangia machache huko mbele, niko porini naendelea na kilimo. Nikirudi mjini nitawapa machache ya huku porini.
Nakusubiria mkuu Malila.
Tafadhali usisahau kunimention.
Safi sana mkuu hii nimeipenda sasa ni taratibu gani za kujiunga na vipi kuhusu mtawanyiko wa wadau maeneo tofauti nchini Malila.tayari movement ya hivyo ipo, ilianza na misitu ya miti ya mbao/nguzo, sasa hivi inachukua mkondo wa ufugaji. Kwa uzoefu wangu wa makundi ya Kibongo, ni vizuri movement iwe ya watu wanaofanya kitu cha aina moja pamoja lakini kila mtu kwa uwezo wake na umiliki binafsi wakati huo huo mkichangiana manegement cost. Hii itasaidia sana kukua na kufikia malengo bila kutegeana.
Movement yetu kwa sasa ina wadau 120,na inakuwa kila siku,tunafanya pamoja mambo mengi,lakini kila mmoja na shamba lake kwa uwezo wake. Kwa hiyo ukiwa mtu wa longo longo, shamba lako pekee ndio linadoda. Mdau mdogo ana eka tano na mdau mkubwa ana eka 200, wote tunashirikiana kwa uwiano bila kubebeshana mizigo. Tukiona una longo longo tunaku-drop bila kutupa damage ktk group. Ni aina ya ushirika wa aina yake. Hata mikutano huwa tunafanya.
Safi sana mkuu hii nimeipenda sasa ni taratibu gani za kujiunga na vipi kuhusu mtawanyiko wa wadau maeneo tofauti nchini Malila.
Tupo pamoja Kiongozi.Tuma e mail yako kwangu, kiingilio chako ni ww kununua shamba pamoja sisi basii, namna ya kuendeleza shamba lako utaipata ndani ya group. Kila siku utapata taarifa za shamba lako na utajulishwa cha kufanya kupitia jukwaa letu ambalo utaunganishwa nalo baada ya kutuma e mail.
Wadau wetu wapo nchi nzima, wengine wako majuu kama USA,UK,Finland,Sudan,SA,Uganda, na wengine sikumbuki tena waliko. Kwa upande wa misitu tumefanikiwa sana, changamoto zipo, ila nyingi tumezishinda.
Mkuu malia mim napenda sana hayo mambo naomba uni pm na my email ni jmakyao@gmail.com plz mkuu naomba sana