You're Like Chickens, Bingu Tells Malawians | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

You're Like Chickens, Bingu Tells Malawians

Discussion in 'International Forum' started by The Finest, Jan 6, 2012.

 1. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Malawi President Bingu Wa Mutharika likened Malawians to "chickens" that make noise on simple issues like the twin problems of forex and fuel, which are "just small challenges", saying Malawi is facing numerous problems than those two.

  Mr Mutharika made the remark in Zomba, Malawians old capital city when he launched a National Tree Planting season which comes during rainy season. "Malawians are like chickens, they cry over simple issues". Are you telling me that the only problems you can cry about are forex and fuel?. Mutharika said opposition political parties and 'opposition' NGOs were only interested on issues that would endear themselves with the international community but that would not help Malawians.
   
 2. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,339
  Trophy Points: 280
  Marais wa kiafrica hawatofautiani kwa tabia na akili utadhani mama yao ni mmoja!
   
 3. A

  Alpha JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2012
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  :lol::lol::lol:
   
 4. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Huyu atakuwa pacha wa yule mwingine aliesema "Kwani mimi ni Mungu hata nilete mvua Mtera?"
   
 5. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Moi naye alishawahi kuwaambia wakenya "mnalalamika mvua hakuna, mnataka nilete mvua?" Lol...
   
 6. Rogate

  Rogate JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukimsikiliza Bingu utapata picha kuwa he is smart man. Anaplan za muda mfupi na mrefu za kuresolve issues na anaweza kufanya maamuzi magumu. Hata implimentation ya plan zake zinaonekana. Japokuwa UK wamesitisha misaada kwa mlw na almflush baloz wao Kwacha bado ipo imara.
   
 7. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Haihitajiki mtu kusoma uchumi ili kugundua kuwa inflation inapokuwa kubwa na sarafu lazima itayumba. Kwacha ina hali mbaya kuliko maelezo. Unadhani matatizo yanayolalamikiwa nini? Yaani ukose fedha za kigeni halafu sarafu yako ibaki stable? Labda kwenye planned economy ambapo unaweza kupanga artificial rate, na Malawi definitely ni market economy.
   
 8. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  ni hekima kwa kiongozi yeyote kupima athari ya kauli zake kabla hajazitoa kwa umma; unfortunately, wengi wao hujisahau
   
 9. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #9
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Viongozi wa Afrika hawapimi kauli zao kwa sababu wakishaingia wana kinga ya kutoshitakiwa na kuondolewa madarakani
   
Loading...