Your true enemy is always behind you

Mh hatari sana, hapa maskani kuna vijana wadogo huwa wanakuja,nataniana nao kumbe vina tabia ya udokozi,mida hii ndo nagundua kuna vifaa vyangu vya mazoezi havipo...na hii ni mara ya tatu sasa naibiwa vitu...i wish nipate mbinu ya kuwakomesha..wameniboa sana.Huo msemo umekaa sawia kabisa,
 
Wategeshee maji ya betry kwenye Kopo au chupa kisha remba kwa lebo ya kupendeza
 
Mshana jr ndio unatoa ushauri huu?
Yeah...! Kuna usemi wa waingereza unasema do bad things to bad people...! Imagine mtu unamchukulia poa kama mshikaji na kumuamini halafu kumbe nyuma yako anakufanyia vitu vya ajabu
 
ni vizuri kama ataweka ktk chupa ya plastic ya sprite au katika chupa ya azam energy, teh!
Halafu pia achanganye kidogo na kinywaji husika hasa chupa ya konyagi bapa ni nzuri zaidi
 
Pole Mkuu Bob Marley aliimba hivi kwenye wimbo wake wa Who the cap fit "Man to man is so unjust, children:
Ya don't know who to trust.
Your worst enemy could be your best friend,
And your best friend your worse enemy.

Some will eat and drink with you,
Then behind them su-su 'pon you.
Only your friend know your secrets,
So only he could reveal it.''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…