"Your Private Message Was Not Delivered to ...... ".

hahaaa wenyewe wamejiunga siku hizi.....kila anachofanya anapost lol!!!!

Yeye anafikiri tunayoposit huku tunatoa fb! Hata kama habari iwe ya kweli, alimradi link ipo facebook huwa nakosa guts kabisa za kuisoma. Ni kama mtu mmoja alinitumia namba yake, huku anasisitiza tuwasiliane kupitia fb!
 
kweli watu na bahati zao....:A S 41::A S 41:
 
Ok...Wierd and interesting at the same time 😱hwell:

Au alihisi nitafunguka kwa kumpm akaamua kuniweka blacklist kwanza kwa kihoro cha kuogopa swagga zangu nini?? Maana kuna ile hali ya mtu kushtukia jambo kabla halijatokea!
 
Au alihisi nitafunguka kwa kumpm akaamua kuniweka blacklist kwanza kwa kihoro cha kuogopa swagga zangu nini?? Maana kuna ile hali ya mtu kushtukia jambo kabla halijatokea!
Mh kama mtu hamna mawasiliano yoyote atakuwekaje kwenye blacklist bila sababu za msingi?Hamna ugomvi,hamjuani,kama hataki mawasiliano na ww si anakwambia tu!
 
Mh kama mtu hamna mawasiliano yoyote atakuwekaje kwenye blacklist bila sababu za msingi?Hamna ugomvi,hamjuani,kama hataki mawasiliano na ww si anakwambia tu!

Labda ilikuwa technical problem! Sidhani! I have to keep on trying.
 
You can do that!!

Ngoja nireboot PC, halafu nijaribu kutuma tena. Ila ikigoma, kesho nikiamka tu asubuhi la kwanza ni kuituma hii PM ndio niendelee na mambo mengine. Ohhh "I've to fight for my dreams".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…