Your lover should be your best friend

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,326
Reaction score
3,446
Uhusiano Bora lazima uanzie kwa urafiki kati yenu,then mnafall in love na kuwa wapenzi,baada ya hapo mnashibana na kuwa Best Friends...Uhusiano usipopita hatua hizi mmechemka..Lovers must be best friends!
Kama uhusiano wako ni wa kikauzu zaidi ya dagaa utadhani wewe ni mwanafunzi kilaza na Boyfriend wako ni Mwalimu mkuu,hujui akikuita anakupa adhabu,au barua ya kumuita mzazi,au bakora,Ur not in Love...Mapenzi lazima yawe matamu, You can Smile,u can talk seriously,play like crazy kids,joke like bastards na bado mnapendana.
Kama uko kwenye uhusiano ambao Boyfriend kanuna muda wote kama Baunsa wa Maisha Club,My friend,Ur not in love uko Depo la Polisi,hama fasta kabla hujapata fangasi za moyo!
 
Ukijua maana halisi ya best friends.. Huwezi kumfanya partner\fiance wako best friend. Kuna some situation lazima mtagombana 2 akijua movement zako.
More over mwanamke si wa kuambiwa kila kitu
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sio lazima. Kuna mapenzi yanatokea katika mazingira tofauti na hayo na yanakomaa kabisa. Mengine huanza hivo, wanakua bestfriends na bado wanaachana.
 
Sio lazima. Kuna mapenzi yanatokea katika mazingira tofauti na hayo na yanakomaa kabisa. Mengine huanza hivo, wanakua bestfriends na bado wanaachana.
haya ndiyo yanayokuwa mazuri na matamu coz mtakuwa huru kushare vitu vyenu kwa pamoja.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…