Wana Jamvi, baada ya kusikia Vodacom modem inasifiwa sana, hivi majuzi nikainunua! Tangu ninunune, i've realized kwamba, this's the worst modem i've ever used in my life.....kwa speed, inaachwa mbali hata na Dial-Up Modem ya TTCL ambayo niliinunua tangu 2007!! More than 75% percent of its activity, inakuwa below 2kbps. This's weird modem speed especially unapokuwa mahali kama Dar es salaam!
· Guys, what can be the problem? Is it because am living very close na minara ya simu(ya kampuni zingine)? Kwa mfano, at a distance less than 15m, kuna mnara wa Tigo! Within the radius of less than 200m, kuna minara ya Zantel na Airtel. Can these towers interfere Vodacom network(for internet)? Ningependa kufahamu hili ili nisiwalaani Voda.
· Kama uwepo wa minara karibu sio tatizo, what can be the source? Any possible solution?
The Make of the Modem is E 303, marembo marembo mengine waliyoandika ni kwamba it's the "Most Reliable Internet on 3.75G" na sifa zingine kedekede!