Ana ngoma inaitwa 'Umebadilika' amemshirikisha banana zoro, lakini jana nimesikia ngoma nyingine inaitwa '13' alowashirikisha fid q na belle9.
Kama kweli hii ngoma ni mpya, mbona interval baina ya ngoma moja na nyingine ni ndogo?
au hii ina maana gani kibiashara? Najua wapo wenye ujuz wa haya mambo, wanijuze tafadhali?