Young Africans yazindua jezi mpya msimu wa 2021/2022

Mimi hainiumi yanga kumpa kazi manara isipokuwa kuna yanga wangapi Tanzania nzima wenye sifa zaidi ya yale matapishi ya simba na je vipi kuhusu bumbuli yanga kindakindaki kwani ye hatoshi na nugaz je
Muda utaongea,,,,
kuna kitu kinaonekana sio poa kwa waliokuwa wanashikilia hayo majukumu tutajua kukikucha
 
Mimi hainiumi yanga kumpa kazi manara isipokuwa kuna yanga wangapi Tanzania nzima wenye sifa zaidi ya yale matapishi ya simba na je vipi kuhusu bumbuli yanga kindakindaki kwani ye hatoshi na nugaz je
Muda utaongea,,,,
Kwakua wewe ni Simba Sc damu kama ulivyodai, hayo maswala waachie Yanga wenyewe walioamua kumpokea.
 
Ila maisha haya mpaka hapa hamna anayekosoa jezi kama jezi zaidi ya kauli mbofu mbofu.

Nimalizie tu sisi tumezindua jezi aina 10 at once. Teh. 😎😎
 
Hii tunaita Casual Kit.

Na kwa kuongezea tu hapo kifuani kwa chini kidogi kuna MMM na WWW zinasimama kama Mwananchi au ukipenda Wananchi. Teh
 
Mimi hainiumi yanga kumpa kazi manara isipokuwa kuna yanga wangapi Tanzania nzima wenye sifa zaidi ya yale matapishi ya simba na je vipi kuhusu bumbuli yanga kindakindaki kwani ye hatoshi na nugaz je
Muda utaongea,,,,
Nugaz ni Simba damu pale yupo kikazi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…