Yanga SC Yazindua Jezi Rasmi za Msimu Mpya wa 2022/23

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,250
15,116
20220728_202333.jpg
20220728_202358.jpg


20220728_202339.jpg

Mapema jioni hii mabingwa wa nchi, mabingwa mara nyingi na mabingwa wa kihistoria wamezindua rasmi uzi mpya utakao tumika msimu ujao.

Mabingwa hao wameendelea kushika usukani katika kuzalisha na kutengeneza jezi nzuri na zenye ubora afrika mashariki na kati.

Rais wa Klabu anazungumza.

Sheria Ngowi anazungumza.

Sifa ya jezi za. nyumbani (home kit) imejengwa na iconic buildings zote za taifa la Tanzania.

Sifa za jezi za ugenini inaundwa na tafsiri muunganiko wa wanachama na klabu yao.

Sifa ya jezi namba tatu inaundwa na kumbukumbu ya wachezaji wa zamani wa Yanga SC.
 
Ushabiki siku hizi umeugeuza kuwa Uzuzu. Zile away Kit za Yanga japo Mimi si shabiki wao nasubiri kuona ya Azam vinginevyo itakuwa jezi bora kuliko.
 
Back
Top Bottom