Mbona kambale hayupoHivi hapa vikosi vya watani wa jadi yani Simba Sports Club na Dar Young African msimu huu wa league 2022/2023
View attachment 2342803View attachment 2342804
Kambale ndo nani tena?Mbona kambale hayupo
Kinatisha.Tuwe wakweli! Kikosi cha Wananchi kinatisha. Mimi ni Mwananchi, lakini huwezi kuamini! Ninakiogopa hiki kikosi aisee!!