Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,952
- 168,818
Dahane huko aliko, hela anaila kwa tabu sana 😂
Angetumia lugha gani kulalamika ili Refree amuelewe?Alaumiwe captain wa Yanga kwa kushindwa kumlazimisha refa aende kwenye VAR
Lugha ya alamaAngetumia lugha gani kulalamika ili Refree amuelewe?