Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 48,274
- 115,199
Hebu tuwacheni.Waende na nyavu za kuvulia samaki 🤣🤣🤣
Hebu tuwacheni.Waende na nyavu za kuvulia samaki 🤣🤣🤣
Hamna kitu kama hicho.Hahah hayo mambo yenu ya dharau yatawatokea puani safari hii shauri yenu
The only thing to fear is fear itself
Yaani na Simba inatamani ipate bonde kama lenu. Si unajua tena Wananchi hawana shida ya kitoweo hasa wawapo kambini? Ni mwendo wa kuvua samaki tu wakati vyungu vya ugali vinachemka jikoni 🤣🤣🤣Hebu tuwacheni.
Hebu tuache tuko busy na kuelekea kwenye mabadiliko.Yaani na Simba inatamani ipate bonde kama lenu. Si unajua tena Wananchi hawana shida ya kitoweo hasa wawapo kambini? Ni mwendo wa kuvua samaki tu wakati vyungu vya ugali vinachemka jikoni 🤣🤣🤣
Njooni mjifunze Msimbazi kuhusu mabadiliko milango ipo wazi, karibuni sanaHebu tuache tuko busy na kuelekea kwenye mabadiliko.
Doooh!!!Njooni mjifunze Msimbazi kuhusu mabadiliko milango ipo wazi, karibuni sana
Doooh!!!
Kwani Yanga mna mchezaji mmoja tu!?
Pale hakuna zao linakubali ndugu yangu labda uanzishe ujasiriamali wa kufuga vyura.Mtani ivi pale jagwani nikitaka kukodi kwa ajili ya kilimo gharama sh ngap maana siku izi biashara ngumu kweli
Pale hakuna zao linakubali ndugu yangu labda uanzishe ujasiriamali wa kufuga vyura.
Huyo anakuumiza roho eee? 😂😂Kwani Yanga mna mchezaji mmoja tu!?
Swali zuri sana mkuu, wakikijubu uni tagKwani Yanga mna mchezaji mmoja tu!?
Kwa sasa huyo ndio anafaa kuwawekea mana kila mkiaa na kukumbuka mechi ya watani wa jadi basi roho zinawapaa.Swali zuri sana mkuu, wakikijubu uni tag
NikikukamataaKwa sasa huyo ndio anafaa kuwawekea mana kila mkiaa na kukumbuka mechi ya watani wa jadi basi roho zinawapaa.
Hamna lolote nyie Morisson ndiye mnamuona kama vile nabii sasa hvi mtamchoka
Mkubwa hatishiwi Nyau, siku yenu ipo tu mtakimbiana na mtaanza kumtusi na kumkashifu huyo mchezaji wenu, wananchi mnakawia basi !!!Kwa sasa huyo ndio anafaa kuwawekea mana kila mkiaa na kukumbuka mechi ya watani wa jadi basi roho zinawapaa.
🏃♂️🏃♂️🏃♂️Nikikukamataa
Haiezi tokea kwa sasa afanye kazi muda wake ukiisha anasepa tunaleta mungine.Hamna lolote nyie Morisson ndiye mnamuona kama vile nabii sasa hvi mtamchoka
Ingekuwa zamani sawa ila sasa hapana na hasa ukiangalia tunaelekea kwenye mabadiliko hilo musahau.Mkubwa hatishiwi Nyau, siku yenu ipo tu mtakimbiana na mtaanza kumtusi na kumkashifu huyo mchezaji wenu, wananchi mnakawia basi !!!
Hahaha Yanga hamna ujanja huo huyo mmebahatisha okota Dodo chini ya mbuyu.Haiezi tokea kwa sasa afanye kazi muda wake ukiisha anasepa tunaleta mungine.
Yanga babalaaao.