Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,552
- 2,386
simba wamepata penati
Haikuwa bahati mbaya ni kama majimaji wanataka kuwapa goli, naona faulo zinavyo uzwa hapa
simba wamepata penati
unaota au?
HAKuna lolote mpira nimeuona umechezwa uzuri tu....acheni visingizio
HAKuna lolote mpira nimeuona umechezwa uzuri tu....acheni visingizio