WivuOkota Okota fc
Mbaya sana.Wivu
Ndo pesa zikipatikanaWadau WANANCHI.
Wengine twashauri chama letu litembeze ma agent wa timu yetu kama watu wa mitandao ya simu kusajili wanachama.
Twashauri pia, soko liende mbele zaidi, kwenye dinner set, mashuka, midoli ya watoto nk nk nk.
Tujadiliane wanachama michango ya kujenga kiwanja chetu kwa uwezo wa mwanachama, hili hasa lianze ASAP.
Mpaka nasikia kizunguzungu!Ndo pesa zikipatikana
Zichangie kampeni za CCM
Viongozi wa Yanga wamechangia CCM milion 100
Ajabu hii..Mpaka nasikia kizunguzungu!
Hatuna uwanja!
Hatuna training complex!
Hatuna......
Tunajifanya tunazo kwa hao majizi yenye hela?!