Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,478
- 27,186
Kupata sare siyo mwisho wa dunia.
Hivi Nyie Baada Ya Hiyo Sare Yenu Munaweza Kueka Msimamo Wa VPL hapa?
😀😀😀😀😀
Adui yako muombee njaa,mikia leo wapigwe tu,maana hamna namna
Kupata sare siyo mwisho wa dunia.
Adui yako muombee njaa,mikia leo wapigwe tu,maana hamna namna
Matokeo unayo?Leo tumlambe Mwadui...
kama kawa...Stand 0_ Dar young 4