Young Africana Sports Club, Official Logo!

Young Africana Sports Club, Official Logo!

huelewi maana ya timu kuwa na SC? Simba inaitwa "Simba Sports Club" Yanga pia "Dar Young Africans Sports Club"
Tofautisha na timu kama Azam ambayo inaitwa "AZAM fc", yaani "Azam football club"

timu ikiwa "sports club" maana yake klabu hiyo inaweza kuwa na wachezaji wa mpira wa miguu, basketball, ngumi, karate, netball etc, chini ya jina lake!
Kwa manitki yako hiyo unakubaliana na dhana kwamba Yanga na Simba ni Sports Club!??
 
Unataka nirudie mara ngapi mkuu Mkeshaji?
Fanya utafiti kidogo, kwa kuwauliza wasemaji wa timu hizo watakuambia historia yao!
Jambo la pili, hata kama hawana hizo timu kwa sasa..kuitwa SC, kunamaanisha wanaweza kuwa na timu za michezo mingine kwa jina hilo..au matakwa ya kisheria yamebadilika?

-Tuwekana sawa kama katiba ya TFF au BMT, hairuhusu hilo.
 
Hee inshakuwa hayo tena na mambo ya Studentii !

najaribu kufikiria kama nembo za vilabu vyote vya mpira zingekuwa zinaonesha vikatuni vya michezo yao yote ndani ya clubs zao sijui hali ingekuwaje.

falsafa haimaanishi kwamba ni lazima iwe ni aina "style" fulani ya mchezo wa club husika. Falsafa haiwezi kuwa "static" inaweza kubadilika kama kutakuwa na mabadiliko makubwa ya mazingira yenu.

kwa mfano logo inayoonesha ramani ya bara la africa na mwenge ni falsafa pia. inaonesha falsafa ya uafrika na nuru ndani yake. Huko nyuma bara la africa lilikuwa likipuuzwa kuwa ni bara la giza.
 
Unataka nirudie mara ngapi mkuu Mkeshaji?
Fanya utafiti kidogo, kwa kuwauliza wasemaji wa timu hizo watakuambia historia yao!
Jambo la pili, hata kama hawana hizo timu kwa sasa..kuitwa SC, kunamaanisha wanaweza kuwa na timu za michezo mingine kwa jina hilo..au matakwa ya kisheria yamebadilika?

-Tuwekana sawa kama katiba ya TFF au BMT, hairuhusu hilo.
Timu nyingi za Ulaya ni sports clubs, logo zao ziko simpo mno. Tena hukuti makorokocho kibao namna hiyo. Watu wana hadi timu za motor racing lakini huikuti ikiwakilishwa kwenye logo.
 
Mkuu ipo kwenye jezi gani hiyo?


images
 
Back
Top Bottom