Msherwa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 1,323
- 1,232
Wanajukwaa katika zunguka yangu mitandaoni kutafuta Movies, nikakutana na hii site inaitwa youku, yaani ni REAL COPY N PASTE ya youtube, walichobadilisha wao ni lugha tu, HIVI SHERIA YA HAKIMILIKI INASEMAJE KUHUSU HILI, mtu unaruhusiwa kucopy site ya mtu bila kuulizwa, hebu icheki hii site hapa www.v.youku.com