leney karibu tena nimefurahi kukuona,,,ukweli hakuna mtu mwenye copy popote orijino inabaki kuwa hivyo,hapo kny kusifiwa kila binadamu anapenda sifa na usishangae huyo mpendwa wako pia kujisifia mwenyewe kwani wakati mwingine unaweza kusubiri kusifiwa na watu na usisifiwe so ni vzr pia kujisifia pale unapotamani kufanya hivyo hiyo ni high self esteem pia.
Mi nilivoingia hum leo cha kwanza ilikua kulitafuta hilo tabasamu.... Thank God umenitunzia... utapata zawadi mpenzi,
Kuhusu huyu pipi moyo wangu, yea we are all originals hamna kopi, hujakosea kabisa, ila mi nilidhani mimi nikimsifia ndo it gets perfect.... au labda angejisifia kimoyomoyo...eeehhh nilichoka, mimi niliichukulia kama vile yeye anaona he is the best the world has ever received... so mimi niamue kusuka au kunyoa...LOL
Hapo kwenye purple...Ur perspective is so positive, I like it.... And thats why ur the wise one...
Leney,
Ngoja nikapige mswaki afu nije nichangie kwenye hii yuziful sred.
Babu missed you vibaya.:rain:
Leney,
Ngoja nikapige mswaki afu nije nichangie kwenye hii yuziful sred.
Babu missed you vibaya.:rain:
hahaha!as for smile i promised,and i always keeps my promise,ntasema na babu atunge shairi la welcome back leney,,,,,kweli kujisifia sana inachosha sipendi saana iz lyk anataka umuone wa juu na kuwa ww kuwa nae ni favour,,kujisifu kuwe kwa kiasi na ww msifie pale inapobidi mpenzi,,,vinginevyo nasubiri zawadi sasa🙂)
Welcome Back.
Mwache ajisifie tu lakini hiyo ya kusema ..."I am not boasting, but go anywhere all over the world you will never find my copy" hapo ndo kachemka ilitakiwa wewe ndo usema maneno hayo.
Au labda na wewe unamsifia sana ndo maana kichwa kikawa kikubwa.
Leney mpenzi habari yako binafsi, huyo mupenzi wa kujisifia eti (go anywhere all over the world you will never find my copy") huyo kwa mtazamo wangu mdogo amegundua unampenda sana ndio maana analeta mbwembwe zote hizo. Hata hivyo anza sasa kumuonyesha kwamba unaweza ishi bila yeye na umaanishe ya nini kuumiza roho na watu mmekutana watu wazima bwana? kwani huyo ndio mpenzi wako wa kwanza? kama wa kwanza sawa lakini kama sio wa kwanza jijengee tu kanuni kwamba kama yule nilimpenda tukaachana na nikaumia yakaisha nitashindwaje kwa huyu?
Asante dia kwa ushauri!!!!Songa mbele mama angu, mpenzi wa kwanza mi nimeshaamua kukubali ni shule. Kama ukitoka hapo salama shukuru Mungu endelea mbele. Usije ukajikuta unapata na mtoto akakuachia signature kabisa.
Mwanaume mwenye masifa masifa jamani mi hapana.
Maty my dear, mi mzima kwakweli, God is good!!!
We mzima???
Thanks mpenzi kwa ushauri... hapo kwenye red, yea, he is my first boyfriend, kwakweli nikifikiria ishu ya kuachana Maty, akili yangu inachoka, maana I really never ever wanted to go beyond this one relationship... labda ndo kinachoniponza... na mimi pia kweli nampenda, ila nilimkubali mwanzo coz alikuwa (na bado pia) ametulia (kwa kiasi cha nijuavyo, maana naweza kuwa nasema ametulia kumbe sivyo)... so nikajua huyu atanifaa nikamkubali, niwe muwazi, nimenza kumpenda kiukweli tulivoanza kuwa wote, baada ya mda wa kumzoea, sasa labda kama unavosema, he thinks may be now everything is about him..... haya mapenzi nayo... yanachanganya sana.....
Asante dia kwa ushauri!!!!
Yaani mpaka sa ivi siamini eti its coming to an end... tulielewana, but ndani ya moyo wangu its coming to an end!!! ambacho cha ajabu yani siamini eti this is happening!!! sijawahi kulala hata siku moja nikawaza hivi, hata ile kuota tu... nilijua huyu ni huyu huyu mmoja till I die, sasa I shut my eyes completely!!! ila hamna kitu sipendi kama uongo!!! hata kama mtu hajacheat, bora unidanganye nisije kugundua, but nikishagundua, huwa inaniudhi sana, nikawa nasamehe, maana mtu anajieleza, mpaka mwenyewe unaamua tu kumsamehe (sometimes uongo wenyewe wa ajabu kweli, mpaka unajiuliza, hivi sasa kwa nini hapa huyu alisema uongo), then anarudia, tatizo kubwa nililojifunza, ni kuwa mwananume akikudanganya mambo mengine apart from kucheat, ye anaona sio ishu ya kukufanya wewe ukasirike, lakini mi nadhani hata hao wanaocheat wote walinza hivo.... so ukikasirika, mtu anashindwa kukuelewa unakasirikia nini... and its not fair kuwa unamdanganya danganya mtu ambaye yeye hakudanganyi!!!! ila kwa sababu sio mambo ya wanawake, mi nikawa namsamehe... lakini sasa baada ya all that mtu anakwambia hamna copy yake?????? reallly??? seriously????
kwa kweli Roho wa Mungu na amani ya Mungu viendelee kuamua moyoni mwangu!!! nifanye maamuzi yaliyo sahihi!!! thats all i pray!!!
mmmmhhh Karibu sana dear....tulikumiss...huyo mpenzi wala asikupe kichaa mwambie tu hata wewe unajua hakuna Leney mwingine duniani...ukimweka maanani atakupa kichaa....ya nini my dear?kwanini alivyokuambia uliacha kupumua??? mfikirie mara mbili na kaa nae kwa akili....kama hujaelewa niambie!!!:hand: