Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,682
- 9,529
Vijana tafuteni connection za kisiasa sijui Mambo ya kujiajiri sijui nn. Utasota sana. Ona Vijana wadogo wanakula maisha kwenye AC
Mr kichwa wazi kama ni mpenda haki siasa/sii hasa Wala huwezi ifikiria, ila kama mpiga Dili, mwizi, fisadi, mwovu, usiyependa zingatia Sheria na taratibu, mwenye weledi wa kikwetu wa kitanzania utachagua sii hasa, na sii kujiajiri na kuwa na akili guru🤔.Vijana tafuteni connection za kisiasa sijui Mambo ya kujiajiri sijui nn. Utasota sana. Ona Vijana wadogo wanakula maisha kwenye AC
View attachment 2083626