You need Iphone?

You need Iphone?

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,675
1393448572565.jpg1393448594596.jpg
 
Subhanallah!!!! Ntabaki na hichi hichi ki blackberry changu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Haya ndio maisha wakuu kama unacho we kitumie tu kwa nguvu zote, na wale ambao hawana wanajutia kwa nguvu zote. maisha hayako sawa hata siku moja.
 
njaa katika africa sio ukosefu wa chakula au fedha, africa tuna rasilimali nyingi na ardhi kubwa kwa ajili ya kilimo, shida ni viongozi wenye uchu wa madara, wanao amua kutumia mtutu wa bunduki na kuwaua watu ili waingie madarakani sijui wamtawale nani kwa kuwa washauwa watu wote.

Vita katika africa havitaisha mpaka mabwanyeye wa ulaya na magharibi wakiacha biashara haramu ya silaha kwenye nchi za vita, waasi wanakuwa na nguvu kwa kuwa wanajua kuwa wanapata silaha na chakula, lakini wakiishiwa silaha vita hakuna tena.

Hata watumiaji wa simu za iphone wote duniani tukaamua kuacha kununua simu hizo na bajeti yetu ya kununua tukaipeleka africa kwaajili ya njaa, haitasaidia chochote, watakula leo na watashiba lakini bado kesho watakufa kwa njaa ilele.

Karibu nchi zote za Africa zenye njaa, kuna vita vya wenyewe kwa wenyewe, kama kuna njaa na hakuna vita basi kuna uongozi mbaya, Viongozi walafi na wabinafsi wanaangamiza bara la Africa kwa kuwa wao teyari wameshatengeneza makazi yao katika nchi za ulaya na magharibi, na watoto wao wakiwa huko wakiishi kama peponi.

MUNGU IBARIKI AFRICA,
I LOVE YOU AFRICA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom