You must see these photos

You must see these photos

Mimi hapana. Pengine mkuu utuambie uimara wa hiyo apartment, ventilation kwa kuwa ninaona sijui ni kioo au ni wazi moja kwa moja, usalama, n.k. Naona kama store fulani au sehemu ya mtu kutulia kwa muda lakini si makzi ya kudumu. Bado moyo haujakubali. Nisaidieni. Angalia msingi mchangani n.k. Hapana!.
 
Back
Top Bottom