You must see these photos

Safi sana. wapi hiyo na mtaalamu wake anapatikana wapi???
 
Hakika mbuyu ulianza kama mchicha!
 
Nice project watu wabunifu sana tuletee vitu kama hivi sio ushindani wa kiba na domo hautusaidii kitu
 
ilianza kama upuuzi aisee na kama ningefanya haraka kupost ma coments hakika mm ningekuwa zuzu duuuuu hongera yake designer na mjenzi aliyeweza kufanikisha yote hayo
 
Nimekapenda aisee, ingekuwa enzi zetu zile za midengo hizi zenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…