Bado madam, sumu yenyewe kumbe sikusoma maelekezo yake vizuri wakati nanunua, nimegundua imeexpire bwana, kama ujuavyo tena kutumia vitu ambavyo muda wake wa matumizi umepita si jambo zuri kiafya!
Mwizi tu wewe. Huna ubavu wa kuandika maneno kama hayo kwa Kiingereza.
Ngabu wewe ni kabila gani?
Kwa nini unaniuliza?
Naona tabia zako za kina nshomile...si umenierewaaa?
I love love.... I hope you do too..
Si unaona navyojiliza mkuu?
mkuu nimeona!
ila nimeshangaa kweli pale uliposema eti upo kwa ajili yake pale atakapojisikia kurudi!
mbaya sana hiyo mkuu, ina maana wewe ni reserve requirement ama?
Samahani sana kwa herufi kubwa...unaweza niambia jinsia yako? niambie nikuambie kitu