Aise nami namajanga hayo hayo ila course nloomba ina priorityDah, hofu yangu kubwa imekuwa confirmed. Nilifanikiwa kuingia kwenye profile yangu ya HESLB, Nikakuta maneno "You have not secured a loan" yapo pale. Ile kurasa ilikua na sehemu ambazo hazina info yeyote mfano, "Reason", "Institute", "Full name". Sasa sijui hili ni tatizo na mtandao wao? kama si tatizo, na ikawa kuwa ni kweli nimekosa mkopo, kuna uwezekano wa kuappeal nikapata walau 0%?
Kama haiwezekani au inawezekana, basi toa ushauri wako ili kwa wale wenzangu ambao wote tumekumbwa na hili tujue cha kufanya.
NOTE: Ijulikane kuwa course niliyoweka ilikua ni "Non Priority".
hapa kazk tu
uliomba cozi gani
mbona kama loan ni priority? ila uskonde mkuu unaweza airisha mwaka au kama unapesa za kulipia kwa mwaka huu we nenda halafu next year utaomba tena mkopo na Mungu awe nawe jembeApplied geology
dah, hofu yangu kubwa imekuwa confirmed. Nilifanikiwa kuingia kwenye profile yangu ya heslb, nikakuta maneno "you have not secured a loan" yapo pale. Ile kurasa ilikua na sehemu ambazo hazina info yeyote mfano, "reason", "institute", "full name". Sasa sijui hili ni tatizo na mtandao wao? Kama si tatizo, na ikawa kuwa ni kweli nimekosa mkopo, kuna uwezekano wa kuappeal nikapata walau 0%?
Kama haiwezekani au inawezekana, basi toa ushauri wako ili kwa wale wenzangu ambao wote tumekumbwa na hili tujue cha kufanya.
Note: Ijulikane kuwa course niliyoweka ilikua ni "non priority".
hapa kazi tuu!!!!
Jaman mbona hiyo link ya OLAS haifunguki, wenzangu mmeingiaje?
kwangu vitu vingine vinfunguka kasoro tu nikitaka kulogin [h=1]"This webpage is not available"[/h]Jaman mbona hiyo link ya OLAS haifunguki, wenzangu mmeingiaje?
kwangu vitu vingine vinfunguka kasoro tu nikitaka kulogin [h=1]"This webpage is not available"[/h]