"You have been provisionally selected...." Ndio kazi ya TCU?

"You have been provisionally selected...." Ndio kazi ya TCU?

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,278
Yaani tangu wanafunzi walipoomba kozi za degree Julai 30, mpaka leo Oktoba 13,profile hazielezi umechaguliwa kwenda wapi ila tu eti "Umechaguliwa, tunasubiri uamuzi wa mwisho wa chuo..."

Ndio maana imebidi tu-dukue tovuti za vyuo mbalimbali kujua hatma, utaratibu ambao ni kama gatecrashing vile. Kwenye tovuti za vyuo tumeyaona majina ya walioomba degree.

Je, TCU walitaka tufanye hivyo? Nilidukua tovuti ya MOCU nikaona jina la mpendwa wangu kuchaguliwa kwenye kozi ya degree, na kujisajili ni tarehe 17/10/ 2016!! TCU wanasema wanasubiri majibu toka vyuoni! What is this???

Tanzania ina maajabu mengi sana.
 
ndg hii link unaitumiaje maana mimi nimeshindwa


Uliomba Bachelor Degree? Kama bado unashindwa kuangalia, njoo PM nipe index number yako ya form IV nikuchekie fasta. Nipo na PC now.

-Kaveli-
 
Pale juu kibox cha kwanza click itakuja form four index number then tach hiyo,halafu kibox cha chini iandike hiyo number yako ya form then search result itakuletea.
Kama wakikuambia information not found means huyo mtu hajachaguliwa au vipi?
 
Back
Top Bottom