You can't blame Phillips Coutinho!

juan moses

JF-Expert Member
Feb 16, 2014
2,403
2,472
You can't blame him!
Biggest clubs in the world are classified into:
Grade 1-Barca, Madrid
Grade 2- Bayern,United,Chelsea, Arsenal,Now PSG and City,Liverpool,Juventus Etc.
Grade 3- Spurs,Dortmund, Napoli,Roma,Porto,Monaco,Celtic.
The grade 1 get their man (Cr7,Bale,Suarez,Coutinho,Kaka,Henry,Modric, etc.),from wherever they want except themselves,and the Drop-offs from grade 1 are very valuable to lower grades (Sanchez,Ozil,Di Maria,Higuain,James,Robben,Fabregas the list goes on and on)
Now know which grade is your team, and stop complaining when SHIT happens! !!
 
hapa kwenye Grade 2

Grade 2- Bayern,United,Chelsea, Arsenal,Now PSG and City,Liverpool,Juventus Etc.

Chelsea Nooooo, Hapa Ulitakiwa kuweka hivi
Bayern,United,Liverpool, Arsenal, Chelsea, Now PSG and City,Liverpool,Juventus Etc.
Japo mm nipo kwenye hao wa "Now" ila hao kina Liverpool na man unitd na arsenal walikuwa wanawika sana kabla ya Chelsea ndo tukaja na sisi mancity. Japo Chelsea kawika kabla yetu ila awakuti hao watatu hapo juu, Nimeshawahi kuwa na jezi ya man u, arsenal na Liverpool ila sikuwa mshabiki wa mpira. Chelsea nilikuja kuisikia wakati wa drogba.
 
umekosea Barca n timu ya miaka ya elfu mbili (kwa kutamba) wenzake n kina man city na psg inakuwaje umeweke grade 1 ???
 
hapa kwenye Grade 2

Grade 2- Bayern,United,Chelsea, Arsenal,Now PSG and City,Liverpool,Juventus Etc.

Chelsea Nooooo, Hapa Ulitakiwa kuweka hivi
Bayern,United,Liverpool, Arsenal, Chelsea, Now PSG and City,Liverpool,Juventus Etc.
Japo mm nipo kwenye hao wa "Now" ila hao kina Liverpool na man unitd na arsenal walikuwa wanawika sana kabla ya Chelsea ndo tukaja na sisi mancity. Japo Chelsea kawika kabla yetu ila awakuti hao watatu hapo juu, Nimeshawahi kuwa na jezi ya man u, arsenal na Liverpool ila sikuwa mshabiki wa mpira. Chelsea nilikuja kuisikia wakati wa drogba.
Ni mawazo tuu
 
naongelea uzito wa klabu kwa sasa!
kwa mantiki yako basi PSG na city wasiwepo kabisa bcoz by 2011 they were SHIT!
 
Sijakuelewa Mancity alikuwaje shit 2011. Unapoleta ushabiki wako jaribu hata kuwa balanced, maana alichkua kombe , tuache ushabiki tuelimishane. Uzi kama huu ufunguliwe na mtu ambae sio mshabiki wa aina yako utakuwa mzuri sana. uzi ni mzui ila wewe upo kwenye ushabiki wa timu yako na kuiona bora uliko ilivyo. sasa unasema mancity by 2011 alikuwa shit! wakati kwenye ukweli alikuwa vizuri sana, na kombe alichukua. check below

2010–11

1. Manchester United
2. Chelsea
3. Manchester City
4. Arsenal

2011–12

1. Manchester City
2. Manchester United
3. Arsenal
4. Chelsea
 
okay,that was a typo, I meant to say 2010!
Na sio shit kama alivokua beaten 7-0 by Middlesbrough au alivoshuka daraja in early 2000s
By 2011 unayosema City alikua vizuri sana,Chelsea ashacheza Fainali ya Uefa na Nusufainali za kutosha,EPL,Fa Cups,League Cups!
I'm never a fan of Chelsea, because I hate money being poured in like that,Ila all City,PSG,Monaco,Zenith,RB Leipzig have taken Chelsea as their flagbearer kwa namna moja au nyingine!
Sasa ukisema nisiiweke hapo,ktk grade 2 mtu ndio timu pekee toka London yenye UCL sikuelewi pia!
and my logic niachokwambia ni kwamba if Chelsea should be taken off there,Basis PSG na City should too!
Bcoz if anything,timu ambayo Mimi kama mchezaji nitaogopa kwenda kwa sasa ktk grade2. ni Arsenal na Liverpool!
 
Sijakuelewa Mancity alikuwaje shit 2011. Unapoleta ushabiki wako jaribu hata kuwa balanced, maana alichkua kombe , tuache ushabiki tuelimishane. Uzi kama huu ufunguliwe na mtu ambae sio mshabiki wa aina yako utakuwa mzuri sana. uzi ni mzui ila wewe upo kwenye ushabiki wa timu yako na kuiona bora uliko ilivyo. sasa unasema mancity by 2011 alikuwa shit! wakati kwenye ukweli alikuwa vizuri sana, na kombe alichukua. check below

2010–11

1. Manchester United
2. Chelsea
3. Manchester City
4. Arsenal

2011–12

1. Manchester City
2. Manchester United
3. Arsenal
4. Chelsea
Hope umenielewa,City bado hamfikii Chelsea's achievements for now!
Mnahitaji kufanya zaidi,Alafu nimeweka ivyo bcoz of What I think kutokana na experience yangu ktk soka,Sijaweka ushabiki halo as you say,rekebisha iyo kauli yako kwanza!!
 
and I know city better than you think you do!
 
Nadharau timu ambazo hazina mchezaji hata mmoja first eleven kutoka kwenye academy zao..aarrgg
 
Hope umenielewa,City bado hamfikii Chelsea's achievements for now!
Mnahitaji kufanya zaidi,Alafu nimeweka ivyo bcoz of What I think kutokana na experience yangu ktk soka,Sijaweka ushabiki halo as you say,rekebisha iyo kauli yako kwanza!!
Ndo maana nikakuambia weka ushabiki pembeni boss, huwezi kunielewa kama utaendelea kuwa na ushabiki na timu yako.
1. Kiufupi sijalinganisha Chelsea na Mancity. na kama unataka kulinganisha Chelsea na man city basi Chelsea wapo juu.
ila mwanzo nilikuwa najaribu kukuelewesha suala na kuziweka hizo timu kwenye madaraja na ukasema city by 2011 alikuwa shit! wakati sio kweli.

Sasa hapa kwenye madaraja umeangalia achievements za timu. ila mbona umeipendelea sana Chelsea. wakati hana achievements za Man United, Liverpool, Arsenal ?
Mwanzo nilikujibu kuwa alitakiwa awe hapo kwenye daraja la Kwanza ila awe baada ya Man u, Liverpool, Arsenal na sisi kina Man city ndo tuwe daraja la pili.
angalia picha inajieleza ( kama suala ni achievements ) weka ushabiki pembeni. mimi sio mshabiki wa man u wala Liverpool wala Arsenal wala Chelsea lakini nakubaliana na picha hapa chini.

Most-Successful-Teams-In-English-Football-History.jpg

I know you know, ok we both know City
Ila hapa siongelei nani anaijua city au haijui city bali nilichokuwa nakueleza ni kuwa weka ushabiki pembeni unapoleta mada ambayo unataka ijadiliwe na timu zote.

Sasaivi nakupa Yellow card ukiendelea na faul zako nakupa Red card.
 
Hope umenielewa,City bado hamfikii Chelsea's achievements for now!
Mnahitaji kufanya zaidi,Alafu nimeweka ivyo bcoz of What I think kutokana na experience yangu ktk soka,Sijaweka ushabiki halo as you say,rekebisha iyo kauli yako kwanza!!

1. Umeweka hivyo kutokana na experience yako ktk soka! ! maana yake nini sasa ? si ndo ushabiki huo? kwanini usiweke kutokana na hali halisi? maana na mm nitaweka kutokana na experience yangu na sio hali halisi ndio tunaita ushabiki.

2. Halafu kuhusu kurekebisha kauli yangu, Nitairekebisha pale utakapokubali kukosolewa, yaani wewe usikosolewe tukikukosoa unasema turekebishe kauli Dahhh Aiyaa Mkuu sikukosoi tena kwasababu wewe unajua zaidi.

3. Nakubali kurekebisha Kauli yangu sasa. Maana nimeshakuelewa,
 
Back
Top Bottom