Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,551
Upo makirikiri bar au upo nyumbani?
Ndo nimetoka Makirikiri, nilikuwa sijapata taarifa. ndo nimeona muda si mrefu
Upo makirikiri bar au upo nyumbani?
,........ahsante sana kwa mualiko dah you are so handsome
Mzee naona unaota mpaka sa hv
Ndo nimetoka Makirikiri, nilikuwa sijapata taarifa. ndo nimeona muda si mrefu
ulibodi ndege sa ngapi? Ina maana tulipoachana ulikwenda straight airport kuwahi turkish air?
Hi my brother Chimbuvu , charminglady hana mtu yani yupo single
Kuna haja ya kuwakumbusha watu maana ya ndoa na umuhimu wa kuheshimu ndoa
Wewe charminglady wangu anakuhusu nini?
Wewe charminglady wangu anakuhusu nini?
Ndoa haivunjwi na upande mmoja, hadi pale C6 atakapo toa msimamo wake, hadi sasa hao bado ni mke na mume
Mambo Lily Flower, mnarudi lini? Miss U
Hapo nime kuelewa, charminglady ni mke harali wa C6 sasa ombi langu vipi? Na wake hawa wanne nataka nifunge nao ndoa kwa wakati moja, naomba unipe sample ya barua ya ndoa ya namna hii
Kuna haja ya kuwakumbusha watu maana ya ndoa na umuhimu wa kuheshimu ndoa
Asante kwa msamaha wenu! Me, nilikua nafikisha taarifa tu. Habari yako mkuu
Salama...umekunywa chai??
Hao wanne ni kina nani.!?? nahitaji kuwajua na kutambua utayari wao, wakiwa tayari poa tu , mbona mie enzi za ujana wangu nilifunga ndoa na wote hawa