Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,702
Haijawahi tokea maana najitahidi sana kuwinda type zangu na kiuhalisia wanawake wote wasio nizidi zaidi ya miaka m5 ni type yangu.
Maisha yakibuma hakawii kukutafuata na kukuambia I didn't mean that, babe I love you so much😡😡😡
Teh teh [emoji38][emoji38][emoji38] mtaje tuHe hee sijawahi kuambiwa live ila umenikumbusha jamaa mmoja humu alicomment 'am not his type'...
Mkuu I believe in the power of tongue, never use it to hurt other people's feelings. In that case, watch the outcome of those who tell you "you are not my type".Alaf unakuta mtu umezoea ku lead a humble normal life siku mtu akikufahamu vizuri.....kauli zina bailika.
I seriously hate fake sympathy nd women wit passion.
I feel you man.Nishakutana nazo hizo sana ,sema huwa lazima nitafute justice baada ya kumpata ,
Justice na sio revenge
Haha justice ndo ikoje uncleNishakutana nazo hizo sana ,sema huwa lazima nitafute justice baada ya kumpata ,
Justice na sio revenge
Ni kweli...( tell me more about it)Mkuu I believe in the power of tongue, never use it to hurt other people's feelings. In that case, watch the outcome of those who tell you "you are not my type".
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] maelezo nitakayo toa hapa yatajenga picha ni revenge wakati mimi natafuta tu justice ....naweza mkoleza akifika kwenye peek ya mahusiano yaani haoni wala hasikii mimi huyoooo nasepaa zanguHaha justice ndo ikoje uncle
Hahaha huwa raha sana aliyekuona sio size yake but mambo yakinyooka anakupigia saluti, safi sana, soma sana, tafta pesa watajileta wote, watu kuita mara mzee, kifaru, mkuu, boss na majina kibaoHongera sana.
Well kuna wakati unaweza kua uko katika hali flan (temporary) due to certain circumstances but doesn't mean u belong there.
We live, we learn.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Maisha yakibuma hakawii kukutafuata na kukuambia I didn't mean that, babe I love you so much😡😡😡
Nyani ngabu mshenzi sana aliniudhiHe hee sijawahi kuambiwa live ila umenikumbusha jamaa mmoja humu alicomment 'am not his type'...