Pure nomaa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 1,158
- 1,388
Halafu hapo ni anonymous mkuu?Yani watu wayaweke matatizo yao hadharani?
labda huijui JF vizuri
Hahahahaj mwanzo nilikuwa sijakuelewa hahahahHujawahi kuwa na.....??!!! Hilo wingu, siku hiyo utanyesha elnino
Hahaha kasheshe ipo hapoHalafu hapo ni anonymous mkuu?
Unategemea kwa halii hii mtu ukutane nae physically atakupa ukweli?Hahaha kasheshe ipo hapo
Hahhaa... Yaani alafu JF inaharibu watu sana, kila mtu humu ana-gene za usalama wa taifa... Hehhehe mtu anajiunga JF akiwa bwege tu, lakini baadae JF inamjanjarusha na anakuwa hashikiki...Unategemea kwa halii hii mtu ukutane nae physically atakupa ukweli?
Usalama wa taifa ki vp mkuu?Hahhaa... Yaani alafu JF inaharibu watu sana, kila mtu humu ana-gene za usalama wa taifa... Hehhehe mtu anajiunga JF akiwa bwege tu, lakini baadae JF inamjanjarusha na anakuwa hashikiki...
Mwenzio, ukute alishanyesha bafuni vya kutoshaHujawahi kuwa na.....??!!! Hilo wingu, siku hiyo utanyesha elnino
Hapo ni mambo ya kupata burudani kutoka kwa baby mkonoMwenzio, ukute alishanyesha bafuni vya kutosha
Yaani Ni Spies, huwa wanapenda UsiriUsalama wa taifa ki vp mkuu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hujawahi kuwa na.....??!!! Hilo wingu, siku hiyo utanyesha elnino
Ok kumbe ndio maana hawapendi kuweka mambo yao wazi sio?Yaani Ni Spies, huwa wanapenda Usiri