You are my Banana....

You are my Banana....

Alafu wewe mwanamke,huwa nakutamani sana,najua vitu vyako ni vya moto moto.nakupenda Ila naogopa kukuambia hata huko pm naogopa kuja,si jui nije jamani
 
Kumekucha aka hakuna kulala
You are my handsome man, you are my Banana....

Tusiwasikilize mapimbimbi kazi yao kupiga domo tu mapimbimbi, wakati mahaba hawayajui mapimbimbi.....

Dadii You are my handsome Banana, ndizi Bukoba iloshiba.... acha niringe nidekeze, nikulishe tufaa unichombeze hadi mapimbi wambimbimbii.....

Mziki wa Mahaba ya Dadii na Kasie unaendelea.



K’ Matata Mahaba.
Kumbe wewe ni Irene[emoji23] Nita ku track soon
 
Ndizi mkono wa tembo
ndizi kikojozi
ndizi nyenyele
Ndizi mshale.
au ndizi banana.
Ila zote ni ndizi

Hapana chezea Mahaba ndugu yangu.

Kasie na Dadiiiii ni mapenzi mwanzo mwisho na pesa bado ipo.

Raha rahani bata batani utamu utamuniii

Singida Dodoma ma ma ma ma ma ma Tabora na Tanga nga nga nga nga nga nga Mahaba Matata ta ta ta ta ta ta ta heheheheheheheheee

K' Matata.
 
Alafu wewe mwanamke,huwa nakutamani sana,najua vitu vyako ni vya moto moto.nakupenda Ila naogopa kukuambia hata huko pm naogopa kuja,si jui nije jamani

Singida Dodoma ma ma ma ma ma ma Tabora na Tanga nga nga nga nga nga nga Mahaba Matata ta ta ta ta ta ta

Tamu ka banana 🍌 na na na na na na

Putin humu ndani mlo wengi, wewe sijui ni yupi. ......
 
Kumekucha aka hakuna kulala
You are my handsome man, you are my Banana....

Tusiwasikilize mapimbimbi kazi yao kupiga domo tu mapimbimbi, wakati mahaba hawayajui mapimbimbi.....

Dadii You are my handsome Banana, ndizi Bukoba iloshiba.... acha niringe nidekeze, nikulishe tufaa unichombeze hadi mapimbi wambimbimbii.....

Mziki wa Mahaba ya Dadii na Kasie unaendelea.



K’ Matata Mahaba.
Hili neno k. Hua linanipeka mbali sana sijui kwa nini
 
Hili neno k. Hua linanipeka mbali sana sijui kwa nini

Hehehehehee shauri yako halahala lisikuletee madhara, mie upako wangu bado haujashuka.
Dadii you are my man my King you are my Banana....
Basi burudika na Mahaba ya Dadii na Kasie

Mahaba Matamu kama ndi ndi ndi-zi
Tunaramba asali kama bee bee 🐝 bee
Tunawazingua mapimbimbi

Wuuhuuuu Kasie Mahaba Matata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom