Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,232
- 113,610
Trump kanikosha sana leo.
He gave it to them like nobody's business.
Bravo bravismo Mr. PEOTUS.
He gave it to them like nobody's business.
Bravo bravismo Mr. PEOTUS.
Indeed, hii nyundo DJT aliyowapiga clinton news network itawatesa.
Haha, yani ndio kwanza anaanza, cnn watakoma for the next 4 years
Walimtukana sana kwa uwongo ktk campaign na kutoa polls kibao za uongo kumuharibia kibao kimechange kiukweliCNN wamepoteza sana credibility yao
Yeah yeah!Kanifurahisha sana leo.
Halafu umegundua leo FNN [CNN] wameachana kabisa na hiyo habari?
Bwa ha ha ha ha....hapana chezea Trump bana.
That was a major beat-down.
kazimwa fasta your organization's terribleSasa tatizo nao CNN wamezingua kwani lazima wachaguliwe kuuliza swali? The guy was like, " since you have attacked.... Lemme ask you a question" something like that.
Saaa nkajiuliza huyu nae anajikuta mwambaa .
Ila hii imeleta effect kwenye show za LEO huku kwetu ilikua jioni... Ukimuona Wolf, Amanpour, Dana, woote wame panic hatari.
Nafikiri ni mapema sana kwa Trump kuanza vita na CNN. Ilikuwa rahisi kwani alikuwa hajawahi kuwa Mwana siasa. Ila baada ya mwaka mmoja madhambi yataanza tu. Kashfa zitaanza tu na hapo hao hao CNN watakuwa shubira.
Mwenzie Jaluo alikuwa akiandamwa anatukiza ngoma na kuondoka na mpira. Yeye kashaanza kukataa maswali ya CNN. Sijui akigombea tena atagomea Debate yao aende ya Foxnews?
Vita na waandishi wa habari ni hatari.
Hivi alimjibu vipi jamaa wa BBC? Ila nakumbuka tu hata jibu la maana hakumpa na akamuacha kwenye mataa. Nafikiri jamaa watamsubiri akiwa nje ya USA hasa NATO.
Ni wanasiasa wachache duniani ambao husema na kutenda wanachoamini, bila kujali matokeo ya umaarufu wao kisiasa.Kanifurahisha sana leo.
Halafu umegundua leo FNN [CNN] wameachana kabisa na hiyo habari?
Bwa ha ha ha ha....hapana chezea Trump bana.
That was a major beat-down.
Na ndo hicho kilichompa ushindi Trump.Ni wanasiasa wachache duniani ambao husema na kutenda wanachoamini, bila kujali matokeo ya umaarufu wao kisiasa.
Wanasiasa wa aina hiyo ndo huleta mabadiliko ya kweli katika jamii.
Kutakuwa na mengi ya kujifunza kutoka kwaje Trump katika uongizi wake.
Na ndo hicho kilichompa ushindi Trump.
Kusema yale ambayo wengi wanayafikiria lakini kwa sababu moja ama nyingine hawawezi kuyasema hadharani.
Ila CNN wamezidi. Siwapendi kabisa siku hizi.
Acha Trump awanyooshe.
Na ndo hicho kilichompa ushindi Trump.
Kusema yale ambayo wengi wanayafikiria lakini kwa sababu moja ama nyingine hawawezi kuyasema hadharani.
Ila CNN wamezidi. Siwapendi kabisa siku hizi.
Acha Trump awanyooshe.