You are fake news

dtj

JF-Expert Member
Nov 29, 2014
1,318
2,000
Sasa tatizo nao CNN wamezingua kwani lazima wachaguliwe kuuliza swali? The guy was like, " since you have attacked.... Lemme ask you a question" something like that.

Saaa nkajiuliza huyu nae anajikuta mwambaa .

Ila hii imeleta effect kwenye show za LEO huku kwetu ilikua jioni... Ukimuona Wolf, Amanpour, Dana, woote wame panic hatari.
 
Dominus Vobiscum

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
432
500
Kanifurahisha sana leo.

Halafu umegundua leo FNN [CNN] wameachana kabisa na hiyo habari?

Bwa ha ha ha ha....hapana chezea Trump bana.

That was a major beat-down.
Yeah yeah!
Unajua, Trump na team yake wanajua hizi blah blah na vurugu zote, mwasisi ni the clintos syndicate.
Ndiposa utambue hadi intel community kuna patashika ya upuuzi kadhaa. Tutayasikia mengi jamaa baada ya kushika mpini, come 20th.
FNN waangalie sana.. itawacost kibiashara...
 
mambo

JF-Expert Member
Jun 11, 2007
2,374
2,000
Tehe tehe kile kidole chake anavyokikunja kama anamsuta mtu daah.Leo kaamua kutapika kabisa.
 
Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,534
2,000
Nafikiri ni mapema sana kwa Trump kuanza vita na CNN. Ilikuwa rahisi kwani alikuwa hajawahi kuwa Mwana siasa. Ila baada ya mwaka mmoja madhambi yataanza tu. Kashfa zitaanza tu na hapo hao hao CNN watakuwa shubira.

Mwenzie Jaluo alikuwa akiandamwa anatukiza ngoma na kuondoka na mpira. Yeye kashaanza kukataa maswali ya CNN. Sijui akigombea tena atagomea Debate yao aende ya Foxnews?

Vita na waandishi wa habari ni hatari.

Hivi alimjibu vipi jamaa wa BBC? Ila nakumbuka tu hata jibu la maana hakumpa na akamuacha kwenye mataa. Nafikiri jamaa watamsubiri akiwa nje ya USA hasa NATO.
 
beast18

JF-Expert Member
Mar 20, 2016
321
500
Sasa tatizo nao CNN wamezingua kwani lazima wachaguliwe kuuliza swali? The guy was like, " since you have attacked.... Lemme ask you a question" something like that.

Saaa nkajiuliza huyu nae anajikuta mwambaa .

Ila hii imeleta effect kwenye show za LEO huku kwetu ilikua jioni... Ukimuona Wolf, Amanpour, Dana, woote wame panic hatari.
kazimwa fasta your organization's terrible
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
89,990
2,000
Nafikiri ni mapema sana kwa Trump kuanza vita na CNN. Ilikuwa rahisi kwani alikuwa hajawahi kuwa Mwana siasa. Ila baada ya mwaka mmoja madhambi yataanza tu. Kashfa zitaanza tu na hapo hao hao CNN watakuwa shubira.

Mwenzie Jaluo alikuwa akiandamwa anatukiza ngoma na kuondoka na mpira. Yeye kashaanza kukataa maswali ya CNN. Sijui akigombea tena atagomea Debate yao aende ya Foxnews?

Vita na waandishi wa habari ni hatari.

Hivi alimjibu vipi jamaa wa BBC? Ila nakumbuka tu hata jibu la maana hakumpa na akamuacha kwenye mataa. Nafikiri jamaa watamsubiri akiwa nje ya USA hasa NATO.

No.

Actually it's about time someone stood up to them.

And politically it's very good for him.

The majority of the people already have a very low opinion of CNN because of their blatant bias.

He has nothing to lose with antagonizing CNN but everything to gain.

Go Trump go....give it to them
 
mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
8,385
2,000
Kanifurahisha sana leo.

Halafu umegundua leo FNN [CNN] wameachana kabisa na hiyo habari?

Bwa ha ha ha ha....hapana chezea Trump bana.

That was a major beat-down.
Ni wanasiasa wachache duniani ambao husema na kutenda wanachoamini, bila kujali matokeo ya umaarufu wao kisiasa.

Wanasiasa wa aina hiyo ndo huleta mabadiliko ya kweli katika jamii.

Kutakuwa na mengi ya kujifunza kutoka kwaje Trump katika uongizi wake.
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
89,990
2,000
Ni wanasiasa wachache duniani ambao husema na kutenda wanachoamini, bila kujali matokeo ya umaarufu wao kisiasa.

Wanasiasa wa aina hiyo ndo huleta mabadiliko ya kweli katika jamii.

Kutakuwa na mengi ya kujifunza kutoka kwaje Trump katika uongizi wake.
Na ndo hicho kilichompa ushindi Trump.

Kusema yale ambayo wengi wanayafikiria lakini kwa sababu moja ama nyingine hawawezi kuyasema hadharani.

Ila CNN wamezidi. Siwapendi kabisa siku hizi.

Acha Trump awanyooshe.
 
mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
8,385
2,000
Na ndo hicho kilichompa ushindi Trump.

Kusema yale ambayo wengi wanayafikiria lakini kwa sababu moja ama nyingine hawawezi kuyasema hadharani.

Ila CNN wamezidi. Siwapendi kabisa siku hizi.

Acha Trump awanyooshe.

Yale yale ya hapa TZ ya vyombo vya habari kujigeuza kuwa vyombo vya kukosoa tu na kufifanya ni vya kutoa haki badala ya kuelimisha umma!

Kila kukicha mwenye dukuduku lake anakimbilia vyombo vya habari.

Humu JF, badala ya kujadili yanayohusu Taifa tunajadili yaliyoandikwa kwenye vyombo cya habari.

Rais Magufuli yeye aliacha mapema kuaikiliza ya kwenye vyombo vya habari, ila hajawa jasiri kukemea chombo chochote kwa kukitaja jina
Na ndo hicho kilichompa ushindi Trump.

Kusema yale ambayo wengi wanayafikiria lakini kwa sababu moja ama nyingine hawawezi kuyasema hadharani.

Ila CNN wamezidi. Siwapendi kabisa siku hizi.

Acha Trump awanyooshe.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom