nilikuwa sijui....
Siyo hawa wa dunia ya kweli , hao unaowazungumzia ni wa kwenye tamthilia mkuu.
Mringe , nyie yeyote akiwasifia tu mpaka visimi vinawacheza achilia mbali kujiona wazuriiii wewe ndiyo wewe.......Hata sisi......
...mmmhh!!!
Mringe , nyie yeyote akiwasifia tu mpaka visimi vinawacheza achilia mbali kujiona wazuriiii wewe ndiyo wewe.......
Mzima lakini?
Ndio maana huniambii kumbee
vipi na miguno?? say something