Earlier is better, wewe bado kijana mdogo sana usikubali kuharibu maisha yako wakati mungu anakupenda na amekuonesha hilo mapema. walk away, usiposikia maneno utakuja kunikumbuka.
Usinipe visingizio eti unampenda sana si kweli, umri wako si wakusema eti umewahi kumpenda mwanamke, unajidanganya mwenyewe nafsi yako.
Habar zenu wana JF
mm n kjana mwnye umri wa miaka 22, kwa bahati mbaya au nzuri nmetokea kumpenda mschana ambaye nmesoma nae na yeye pia ananipenda. Tatizo ni kwamba amesema hawez kuwa nami kisa dini zetu ni tofauti hata kama ananipenda. Mimi nampenda sana huyu msichana na vile vile ctaki niingilie kwenye masuala ya imani yake. Naombeni ushaur jaman...
nawasilisha
Ujinga huu.Badili dini fata ya huyo msichana kama unampenda
Mjinga ni yule anayefkiri dini zingine hazifaiUjinga huu.
Ujinga huu, dini inabadilishwa pale mtu anapokubali kwa hiyari yake mafundisho ya dini husika na anaingia kwenye dini ile kwa sababu amevutiwa nayo na si kwa kufuata mbunye. huu ni ujinga uliopitiliza. sasa mwanamke akifa? unabaki na ile dini au unafanyaje? ujinga mtupu.Mjinga ni yule anayefkiri dini zingine hazifai
Ujinga huu.
MJINGA ni yule anae endekeza UDINI wa aina yoyote... sote humu tz ni ndugu origin moja achaneni kubaguana...na kama kunadini inayoshauri kubaguana basi sio ya MUNGU...NI SHETANI.. maana mungu anatueleza upendo na kubaguana sio upendo kamwe....Mjinga ni yule anayefkiri dini zingine hazifai
Pole sana kama mpaka leo hujui kwamba kuna dini inayobaguwa na kuwaita majina ya ajabu watu wasikuwa wa dini hiyo na ni marufuku mtu asiye wa dini hiyo kwenda kuoa huko.MJINGA ni yule anae endekeza UDINI wa aina yoyote... sote humu tz ni ndugu origin moja achaneni kubaguana...na kama kunadini inayoshauri kubaguana basi sio ya MUNGU...NI SHETANI.. maana mungu anatueleza upendo na kubaguana sio upendo kamwe....