Now and then
JF-Expert Member
- Dec 19, 2024
- 614
- 1,723
Mambo ya kupita bila kupingwa .
Kununua wapinzani .
Kuvuruga uchaguzi .
Ni Kazi kubwa ya Bashiru Ally Kakurwa.
Kununua wapinzani .
Kuvuruga uchaguzi .
Ni Kazi kubwa ya Bashiru Ally Kakurwa.
Labda kuwa bahasha wako kwenye ukoo wenuBashiru anafaa kuwa raisi wa nchi hii
Aliyaongeza tu. CCM ni system sijui mwaka upi CCM ilikuwa ya kweli, CCM ikishindwa hapo baadaye inabidi viongozi wake wote watakao bado wanaishi washikwe na kupelekwa mahakamani kama wale ma General wa Korea Kusini walioshikwa na kuhukumiwa kwa kutofuata constitution baada ya Korea kuwa ya demokrasiaMambo ya kupita bila kupingwa .
Kununua wapinzani .
Kuvuruga uchaguzi .
Ni Kazi kubwa ya Bashiru Ally Kakurwa.
Amekukosea nini??Labda kuwa bahasha wako kwenye ukoo wenu
4R ilikuwa project ya Mbowe na Samia kuhadaa waTz ili kuonesha 'mama kafungua nchi'!Huu ni ujinga!!
4R zimeshindwa kuondoa jambo lililoanzishwa na mtu mmoja tu?
Ataweza nini sasa?
Ila kwa ccm mkuu wakimpitisha ana kua raisi. Mhutu huyo aje awe kagameLabda kuwa bahasha wako kwenye ukoo wenu