Kabisa kabisa mkuu, sema teknolojia inabadilika sana, nimechezeaga stick sana toka kwa mzee kisa kuharibu cassette pamoja na kanda, ukijisahau tu unakuta uzi umeliwaMbuta Mutu.. Kibao bomba sana
Kabisa kabisa mkuu, sema teknolojia inabadilika sana, nimechezeaga stick sana toka kwa mzee kisa kuharibu cassette pamoja na kanda, ukijisahau tu unakuta uzi umeliwa
Noma sana mkuuHahahaha๐