YONDANI halali Simba TWITE ruksa Yanga.

YONDANI halali Simba TWITE ruksa Yanga.

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
7,113
Reaction score
943
Hizi nimezipata toka chanzo kimoja cha habari,ila kuhusu swala la YONDANI Yanga wamepewa muda mpaka tar 9 mwezi huu ili wawe wamevunja mkataba wa YONDANI simba.
Chanzo hicho kinaendelea kusema kwamba simba wanataka kuikomoa yanga kwani wanataka $150,000.
Kuhusu Twite ni kwamba yeye ni halali kucheza Jangwani.
 
Kazi kwao, ila sipendi unaofanywa na hivi vilabu vyetu vya soccer
 
Wasitoe hizo hela Yondani akae kijiweni akifanya mazoezi, mwakani acheze Yanga bure.
 
We gerrad yo-nje ana mkataba mpaka 2014 so hata kama atakaa kijiwen inabidi akae sana tu mpaka 2014 mnalo hilo, bila us dola 150000 imekula kwenu.
 
We gerrad yo-nje ana mkataba mpaka 2014 so hata kama atakaa kijiwen inabidi akae sana tu mpaka 2014 mnalo hilo, bila us dola 150000 imekula kwenu.

Tunalo sisi au analo Yondani mmwenyewe,sisi tuna wasiwasi gani kuna Twite,kuna Canavaro,kuna Ladislaus Mbogo,Ibrahim Job....tutake nini tena?
 
Tunalo sisi au analo Yondani mmwenyewe,sisi tuna wasiwasi gani kuna Twite,kuna Canavaro,kuna Ladislaus Mbogo,Ibrahim Job....tutake nini tena?
Hahaha,mwanachama mwenzangu usikonde,MOSHA amesema atamaliza hiyo maneno within 48hrs!
 
Leo ndo amekuwa halali Simba? Nanii zake mgongolwa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tunalo sisi au analo Yondani mmwenyewe,sisi tuna wasiwasi gani kuna Twite,kuna Canavaro,kuna Ladislaus Mbogo,Ibrahim Job....tutake nini tena?
Kasaidia mchukue kombe la Kagame ndo mnataka kumchinjia baharini, mlipieni tu hela kidogo acheze timu anayoipenda.
 
Ahahahaaaaaaaa...another football talent on the graveyards....soon the burial process will start. r.i.p yondani
 
Pole Yondani: 'tamaa za fisi ...'; 'mtaka yote kwa pupa ....'; etc.
 
habari nilizosoma ktk gazeti la mwananchi leo SIMBA wanataka kulipwa milioni 60 ili wamwachie Yondani YANGA
 
kwani Usajili Bongo si uliisha tarehe 4 septemba? wanapendelea Simba na Yanga hawa si bure
 
Huyo dogo yondani mbona wa kawaida sana(my take abaki hukohuko cccyanga walimfisadi kama kawaida yao
 
Habari ya uongo moods ifute!
Taratibu za usajili wa TMS kutoka Fifa zinaelekeza mchezaji apate leseni ya kucheza ligi mara baada ya kujaza fomu za TMS kwenye mtandao wa fifa na kweka sahihi na dole na gumba, kisha fomu hiyo husainiwa na katibu mkuu wa timu na daktari wa timu, hubandikwa picha ya mchezaji kwa kila msimu!
Sasa Yondani anaenda kucheza simba kwa usajili upi? Tambua kuna tofauti kati ya Usajili na Mkataba,
Mkataba unabakia TFF tu na Fomu za usajili zinakwenda Fifa automatic kwa system, sasa atacheza simba kwa registration ipi?
 
Back
Top Bottom