Songambele
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 4,725
- 2,607
Crashwise - Unapaswa jua kufikiri nyie sio mawazo mgando na kuna mengi hamyafati na ndio mnawahi kupiga domo facts zinawatoa nje. Nyie msemaji wenu ni Kaburu na Hanspope mara chache Rage sasa msemaji wa timu ana kazi gani na ndio maana FIFA walikataa huu upumbavu.
Yondani mlimfukuza wenyewe na Twite mkakimbilia chama cha mpira nyie hela zenu zimeletwa TFF mkasimamia vidole gumba mpaka twite arudishe sasa muende kigali akawapatie, mlikubari nini na mmekataa nini.Watu wanawaangalieni tu mnavyo mbwela. Tatizo hamtaki kuona makosa ya Kaburu na Rage, sasa ligi inaanza mpira ukachezwe uwanjani