Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,013
- 10,170
Mfumo wetu wa usajili ni tatizo. Kwa waliomsikia Mwakalebela juzi, usajili wa Ngasa na Lidondo pia ni batili. Hata huyo Yondani atakuwaje mjinga kupokea pesa kote kote? Nchi hii kila mtu ni tapeli tu.
Tatizo vyama vyetu vya michezo kuna usimba na uyanga kuliko kuangalia kanuni, wanajifanya wanapenda hatima ya wachezaji kwa kuzipa timu nafasi timu zikubaliane kabla ya kamati kukaa wakati kanuni zipo wazi. Hapo ni kufanya maamuzi magumu tu si kuangalia huyu mchezaji ni wa Taifa sijui nini kwani kinachotakiwa ni kutoa adhabu kulingana na kanuni zinavyosema kwani kila kizazi kina enzi yake na vipaji vitakuwepo tu vingine vya kufanya replacement