Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,267
swadakataaaaaaaaaaaaaaaahivi yohana si ndio yahaya?
swadakataaaaaaaaaaaaaaaahivi yohana si ndio yahaya?
dah, mzee alichemsha, halafu mke wake ni mlolole balaa anasali pale mwenge, yeye ndo anakunywa vikombe vya waganga wa kienyeji? I hope maombi ya mkewe yatamwokoa huyu mzee.Hivi mheshimiwa anaumwa nini?
.MAGUFULI huwa Ana matatizo ya nerves ..NA wakati Akiwa WAZIRI wa Ujenzi miaka ya 2004 ..aliwahi kuzirai Dodoma NA kukimbizwa Moi NA Baaday Ujerumani kwa matibabu ..Hilo Ndio Tatizo pekee kubwa lilowahi kuripotiwa hadharani ..Hadi SASA
AiseeGoogle PASADA inashugulika na nini ndio utajua ...
Bado anasali mwenge mpaka sasa?dah, mzee alichemsha, halafu mke wake ni mlolole balaa anasali pale mwenge, yeye ndo anakunywa vikombe vya waganga wa kienyeji? I hope maombi ya mkewe yatamwokoa huyu mzee.