Watanganyika ni wa ajabu sana, mtu akinywa hata maji kwenye kikombe wanashangaa.
hivi yohana si ndio yahaya?hivi mheshimiwa anaumwa nini?
basi bhaswahili walivumisha ..eti alisumushwa!!magufuli huwa ana matatizo ya nerves ..na wakati akiwa waziri wa ujenzi miaka ya 2004 ..aliwahi kuzirai dodoma na kukimbizwa moi na baaday ujerumani kwa matibabu ..hilo ndio tatizo pekee kubwa lilowahi kuripotiwa hadharani ..hadi sasa
MAGUFULI huwa Ana matatizo ya nerves ..NA wakati Akiwa WAZIRI wa Ujenzi miaka ya 2004 ..aliwahi kuzirai Dodoma NA kukimbizwa Moi NA Baaday Ujerumani kwa matibabu ..Hilo Ndio Tatizo pekee kubwa lilowahi kuripotiwa hadharani ..Hadi SASA
kuna kipindi alikimbizwa India pia
wengine wanasema ilikua attempt on his life

hivi yohana si ndio yahaya?
basi bhaswahili walivumisha ..eti alisumushwa!!
Hivi mheshimiwa anaumwa nini?
kuna kipindi alikimbizwa India pia
wengine wanasema ilikua attempt on his life