Yoga class hii ni utata mtupu

Basi, la msingi....natak nifany cheatn nipate ajira.
ahaaaa....ila sharti la kuto dindisha ndio sharti kuu.
kama utaliweza tuma "demo" klwa uongozi wa JF utaokusaidia
kuwasilisha kwa babu huyo unaye muona.
 
ahaaaa....ila sharti la kuto dindisha ndio sharti kuu.
kama utaliweza tuma "demo" klwa uongozi wa JF utaokusaidia
kuwasilisha kwa babu huyo unaye muona.
Hapo, nmepata kikwazoo
 
kikwazo kipi tena mkuu , wakati waambiwa usaili utakuwa wazi
kwa wathiniwa wote, atayekidhi vigezo kupata kazi "immediately".
Yan netwrk isisome wakat upo zero distance na server....……? Vp wew umepata shavu hapo nn
 
Yan netwrk isisome wakat upo zero distance na server....……? Vp wew umepata shavu hapo nn
ahaaaa....inawezekana tu kwetu sisi tuliopitia JKT enzi zile
za kina Mayunga Mti mkavu wakiwa ndio majemedari hodari
kutoka JW.
 
ahaaaa....inawezekana tu kwetu sisi tuliopitia JKT enzi zile
za kina Mayunga Mti mkavu wakiwa ndio majemedari hodari
kutoka JW.
Mkuuu, hata ukikutan na dr. Wa kike kweny ukaguz wa pumb***akizishik lazima jamaa ainuke kidgo.mkuu
 
hahahahhahahahhahahahhahaha...hii kazi ya ualimu ina mitego sana hii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…