Yoga class hii ni utata mtupu

Lazima niombe ukufunzi hapo
 
Hiv nawez pata kibalua hata nikiw volnteer..tu
mkuu , interview yake ni noma, kwanza mashine yako haitakiwi
kwenda winga unapowashika shika warembo kama kawa kwa muda wa 30 min, je utaweza.....?
 
Hasa, mkuu.
Mbona mnaweka vigezo ving, ili tukose kibalua sasa....
 
Muhuni huyu mzee.

Wewe angalia vidole vyake vya mikono yake miwili vinalenga pale pale wala hakosei.

Unafikiri hapo kuna usalama?
mie naona mzee sio muhuni kwani katumia maarifa yake kutoa darasa kwa watu.
mzee piga kazi kwani wengine nimesikia wanaomba hata deiwaka ya kuwa
wanaweka vizuri mazuria tu ya humo ukumbini.
 
Hasa, mkuu.
Mbona mnaweka vigezo ving, ili tukose kibalua sasa....
we komaaa tu kila kazi ina vigezo vyake, huyo babu mwenyewe
unayemuona hapo ana mtihani mgumu sana kwani kwa mujibu wa
mmiliki wa hiyo gym ni kwamba huyo babu "akidindisha " tu wakati
wa zoezi hilo unalomuona , ajue kazi hana. sasa wewe utaweza..??
 
mie naona mzee sio muhuni kwani katumia maarifa yake kutoa darasa kwa watu.
mzee piga kazi kwani wengine nimesikia wanaomba hata deiwaka ya kuwa
wanaweka vizuri mazuria tu ya humo ukumbini.
Halafu wewe
 
we komaaa tu kila kazi ina vigezo vyake, huyo babu mwenyewe
unayemuona hapo ana mtihani mgumu sana kwani kwa mujibu wa
mmiliki wa hiyo gym ni kwamba huyo babu "akidindisha " tu wakati
wa zoezi hilo unalomuona , ajue kazi hana. sasa wewe utaweza..??
Mkuu, bora nikalinde bank...kuliko kaz ngum hyooo....
 
ahaaaa,....mkuu, ukifaulu usaili utaipenda mwenyewe.
kuliko benki unaona wenzako wanabeba tu mijihela mingi huku wewe
mshahara wako kilo 3.
 
Basi, la msingi....natak nifany cheatn nipate ajira.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…