Yo yo yo wots up meeen?hodi meen

Yo yo yo wots up meeen?hodi meen

Joined
Oct 14, 2011
Posts
28
Reaction score
5
yo yo yo yo...
Me ndo bandika bandua...
Nakufunka ksha nakufunua..
Ukleta ujinga ujinga nakuzngua..
Nmekuja kuchat na uhakika nmefka...
Naomba mnpokee nyie ma great thinkerz..
 
Karibu dogo,Ji feel home upo,Mwaga umwagiwe hapo hapo hapo,Dogo una akili za kipopo,Au unagawa line za simu tigo,Usilete Utoto Kama madogo,Humu ndani kuna watu wa kila kitivo,Ukileta bangi zako utazibwa tundu lakoKaribu sana teh teh teh
 
Karibu dogoJi feel home upoMwaga umwagiwe hapo hapoDogo una akili za kipopoAu unagawa line za simu tigoUsilete Utoto Kama madogoHumu ndani kuna watu wa kila kitivoUkileta bangi zako utazibwa tundu lako

kubwa zima halijui kuandka kwa kuacha space..ovyoo ptuu
 
Karibu dogo,Ji feel home upo,Mwaga umwagiwe hapo hapo hapo,Dogo una akili za kipopo,Au unagawa line za simu tigo,Usilete Utoto Kama madogo,Humu ndani kuna watu wa kila kitivo,Ukileta bangi zako utazibwa tundu lakoKaribu sana teh teh teh

we mwenyewe unajua jins gan nilivyo noma..
Ntakupoteza kwa punch line mwnyw utakoma..
Ntakugeuza mishkak ki msingi nitakuchoma..
ucchokoze hu moto nakuambia tena koma
 
yoyoyoyoyoyoyo...............
nakamata maiki kumkaribisha sharobaro meeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen.
 
We ni yoyo uliyepigwa ban sio?
Naona unatuma salam kwa invisible za kiaina.
 
Jamani tunamkaribisha chizi jamvini. Tuwe makini.
 
Back
Top Bottom