Ynnah karibu arusha mimi naondoka

Ynnah karibu arusha mimi naondoka

Wee Bishanga! Yaani ishia hapohapo!
Umepata wapi access ya kuniumbia hadharani?
Sio siri nikiwa kwenye pitch na YNNAH ni lazima NILIE! (naililiaga) asa we umejuaje? Kama sio mwanga, basi kuna siku ulitupiga bodi la chabo!
Ukirudia tena maneno kabila hii nakulaza ndumwa!
Ukome.
Staki utani wa ukweli-ukweli ujue?
mkuu si unajua wazeee wa siku hizi mpaka wapige chabo kwanza ndio wapate stim ya kwenda kudandia (chabo siku hizi wanasema ni kupiga hendelii)
 
YNNAH karibu sana Arachuga, mimi kesho naondoka kwenda Dar ila Ntarudi, kuwa makini mji mtamu huu na wenyeji wakarimu sana akili ku mkichwa
Hope mtoto anaendelea vyema tutaendelea kumwombea apone haraka.

Wakuu shukrani kwa kujumuika pamoja, arusha ntarudi kutangaza jamhuri tuombe uzima tu

YNNAH nikirudi ntakuhamisha kwenye zile kota ili uwe huru.... PJ atafurahi sana


CC PakaJimmy,Arushaone, Filipo, Mr Rocky Erickb52 Tonykp Mzee wa Rula,Mungi
Preta sweetlady Blaki Womani, Lily Flower, marejesho Passion Lady na wengineo wote

Hv huyu Erickb52 anapatikana wp maana nasikia ni bonge la kuwadi kuna demu kanishinda nataka nimpe kazi 225$ per 3 dyz kama upo tayari nijibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom