Hivi ni kwa nini huwa akili zenu zinawatuma muwaambie watu wanaohitaji msaada wakalime? Weye umewahi kulima? Unaujua utamu WA kulima? Acheni kuvuta bangi hadi mnashindwa kushauri.Daaa,, hii nayo kazi ya kumtoa mtu kimaisha? Mkuu huko kwenu Muheza si kuna ardhi yenye rutuba na mvua za kutosha? Pole sana!
Watu husema hivyo, sababu wanaona Kulima ni kama Chaguo la Mwisho baada ya mambo yote kufail.Hivi ni kwa nini huwa akili zenu zinawatuma muwaambie watu wanaohitaji msaada wakalime? Weye umewahi kulima? Unaujua utamu WA kulima? Acheni kuvuta bangi hadi mnashindwa kushauri.
Yaani hawa watu ni hovyo kabisa. Wamevimbiwa makande.Watu husema hivyo, sababu wanaona Kulima ni kama Chaguo la Mwisho baada ya mambo yote kufail.
Ni sawa na zamani kozi ya ualimu. Mwanafunzi wa form four akipata dev.IV anaambiwa aende ualimu.
Nina mishe zangu mkuu ila naona haziendi poa ndio maana nikasema wapo watu huwa na uhitaji serious wa soft copy ya kitabu Fulani ila anakuwa anashindwa jinsi ya kukipata, so ananiambia nami natumia muda na bundle kukitafuta nikikipata namtumia naye ananipa walau buku. Ni kama kusaidiana na wala sio inshu ya kutoka kimaisha. No permanent solution mkuu. Wapi nimesema kwetu Muheza?Daaa,, hii nayo kazi ya kumtoa mtu kimaisha? Mkuu huko kwenu Muheza si kuna ardhi yenye rutuba na mvua za kutosha? Pole sana!
Siku hizi ualimu sio chaguo la mwsho ?Watu husema hivyo, sababu wanaona Kulima ni kama Chaguo la Mwisho baada ya mambo yote kufail.
Ni sawa na zamani kozi ya ualimu. Mwanafunzi wa form four akipata dev.IV anaambiwa aende ualimu.
Sasa hivi nako ni bagumu balaa. Unaweza kukimbilia huko na ukaambulia kukaa mtaani.Siku hizi ualimu sio chaguo la mwsho ?